Category: Matukio

PICHA: KITCHEN PARTY YA TULINAWE “RUTH” ANDERSON WILILLO PALE HEKIMA GARDEN

 Tulinawe “Ruth” Willilo alivyong’ara juzi hapo Hekima Garden, Leo Alhamis tar 5.2.2015 ndiyo tunamtoa kwenye Sendoff yake nzuri itakayofanyika...

PRE – VALENTINE DAY OUT YA WAPENDANAO ARUSHA IJUMAA 13.2.2015

Watuwangu wa ARUSHA a.k.a A Town nawajia kwa moyo wa dhati na upendo, Tukutane pale New Arusha Hotel tar 13.2.2015 Ijumaa kuanzia jioni. Nakuta tuzungumze mambo muhimu...

PICHA: SENDOFF YA NEEMA KITEMBE MNDEME. 28.01.2015 KWALALUMPUR – SINZA

 Neema akionyesha huba kwa kumpa busu mume wake mtarajiwa Tumsifu, hapa alikuwa akimkaribisha chakula  Kwalalumpur imetendewa haki  Pale kati mpini...