Category: Matukio

PAMBIO ZA SEBENE NDANI YA KANISA HUKO CONGO. UKISTAAJABU YA MUSA…….!!!

//www.youtube.com/get_player

PICHA: BRIDAL SHOWER “WHITE PARTY” YA RUBY MBWILO – 07.02.2015 MBEZI BEACH

 Mc Mary ndio alishika mpini pale kati  Bi harusi mtarajiwa Ruby Mbwilo  Dadangu Chegy akifuatilia talk kwa makini  Kama kawaida nilipata fursa ya...

PICHA: BRIDAL SHOWER PARTY YA CHIPEGWA NA VIOLETH MALECELA -SEA VIEW 7.02.2015

 Chipe na Violeth Malecela wakiwa na furaha kwenye bridal shower party iliyofanyikia nyumbani kwa mzee Malecela pale sea view Jumamosi ya tar 7.02.2015...

CYN HENJEWELE DECORATIONS, MMOJA YA WATAKAO ING’ARISHA VALENTINE LOVERS’ DINNER AND TALK 2015

PICHA: KITCHEN PARTY YA TULINAWE “RUTH” ANDERSON WILILLO PALE HEKIMA GARDEN

 Tulinawe “Ruth” Willilo alivyong’ara juzi hapo Hekima Garden, Leo Alhamis tar 5.2.2015 ndiyo tunamtoa kwenye Sendoff yake nzuri itakayofanyika...

PRE – VALENTINE DAY OUT YA WAPENDANAO ARUSHA IJUMAA 13.2.2015

Watuwangu wa ARUSHA a.k.a A Town nawajia kwa moyo wa dhati na upendo, Tukutane pale New Arusha Hotel tar 13.2.2015 Ijumaa kuanzia jioni. Nakuta tuzungumze mambo muhimu...

PICHA: SENDOFF YA NEEMA KITEMBE MNDEME. 28.01.2015 KWALALUMPUR – SINZA

 Neema akionyesha huba kwa kumpa busu mume wake mtarajiwa Tumsifu, hapa alikuwa akimkaribisha chakula  Kwalalumpur imetendewa haki  Pale kati mpini...