Category: Matukio

PICHA: TALK NDANI YA KITCHEN PARTY YA JULIETH PALE DANKEN HOUSE MIKOCHENI TAR. 7.03.2015

 Kiukweli Julieth Ulipendeza  Hapa ndipo niliposimama kuanza kumwaga nondo  Teaching and motivational talks ndani ya blood

PICHA: RELATIONSHIP TALK NA AMITY GROUP: UPLANDS CENTRE- CHANGANYIKENI 29.3.2015

Tarehe 29.3.2015 mchana kuanzia saa kumi nilipata fursa ya kuungana na kikundi shupavu na chenye hamasa sana cha Amity “Amity Group” ambao walikusanyana...

PICHA: TALK KWA VIJANA WA PAROKIA YA MSEWE: Tarehe 29 – 3 – 2015

Siku ya J2 tar 29.3.2015 Kuanzia saa sita hadi saa tisa mchana nilipata fursa ya kuzungumza na vijana wa kanisa Catholic Parokia ya Msewe. Topic ilikuwa “Mbinu...

PICHA: MARRIAGE REVIVAL SEMINA PALE MIKOCHENI B ASSEMBLIES OF GOD MLIMA WA MOTO 6.03.2015

 Siku ya tar 6.3.2015 Nilipata heshima ya kukaribishwa na mtumishi wa Mungu Mama Dr. Getrude Rwakatare kuwa mzungumzaji katika marriage revival seminar pale...

MARRIAGE REVIVAL SEMINAR – MIKOCHENI “B” ASSEMBLIES OF GOD TAR. 6. MARCH. 2015 IJUMAA

Nimepata tena heshima kubwa ya kuwa mzungumzaji katika Marriage Revival Seminer ndani ya Mikocheni “B” Assemblies of God Mlima wa Moto siku ya Ijumaa tar 6...

PICHA: SHEREHE ZA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA KWA WAFANYAKAZI WA UDSM – MLIMANI CITY CONFERENCE CENTRE

 Watu wakiingia ukumbini Mlimani city  Aliyewahi kuwa VC, UDSM Prof. Luhanga akiwa na DVC – Administration wa sasa Prof. Mfinanga  Nikiongoza...

PAMBIO ZA SEBENE NDANI YA KANISA HUKO CONGO. UKISTAAJABU YA MUSA…….!!!

//www.youtube.com/get_player

PICHA: BRIDAL SHOWER “WHITE PARTY” YA RUBY MBWILO – 07.02.2015 MBEZI BEACH

 Mc Mary ndio alishika mpini pale kati  Bi harusi mtarajiwa Ruby Mbwilo  Dadangu Chegy akifuatilia talk kwa makini  Kama kawaida nilipata fursa ya...

PICHA: BRIDAL SHOWER PARTY YA CHIPEGWA NA VIOLETH MALECELA -SEA VIEW 7.02.2015

 Chipe na Violeth Malecela wakiwa na furaha kwenye bridal shower party iliyofanyikia nyumbani kwa mzee Malecela pale sea view Jumamosi ya tar 7.02.2015...

CYN HENJEWELE DECORATIONS, MMOJA YA WATAKAO ING’ARISHA VALENTINE LOVERS’ DINNER AND TALK 2015