Category: Matukio

PICHA: TRAINING YA DR. CHRIS MAUKI KUHUSU CUSTOMER CARE KWA STAFF WA AFRICAN MICROFINANCE LIMITED: 05.10.2018

Wafanyakazi wa African Microfinance Limited wakifuatilia darasa la Dr. Chris Mauki kuhusu njia bora za kuhudumia wateja (Customer care) Dr. Chris Mauki akiongea na...

PICHA: USIKU WA SEND OFF YA MARIAM BRASHI: HELLENIC GARDEN-POSTA: 04.10.2018

PICHA: HARUSI YA STEVEN TOWO NA MKEWE KIPENZI MARY KESSY: EMPIRE HALL-TABATA: 08.09.2018

Best man na Matron waliosimamia harusi ya Steven na mkewe Mary MC. Dr. Chris Mauki akiwaingiza maharusi ukumbini Maharusi, Mr. & Mrs. Steven Towo wakiingia ukumbini...

PICHA: TRANSLATORS NETWORK INTERNATIONAL CONFERENCE YA KANISA LA CHRIST EMBASSY: MLIMANI CITY HALL: 08.09.2018

Team ya Praise and worship wakiimba katika event ya Translators Network International Conference.  Dr. Chris Mauki akisimamia event kama moderator  Dr. Chris Mauki...

PICHA: ICEA LION INSURANCE NETWORKING DINNER ILIYOKUWA MODERATED NA DR. CHRIS MAUKI: SERENA HOTEL: 03.09.2018

Siku ya jana katika hotel ya Serena Dr. Chris Mauki alipata nafasi ya kumoderate event ya Icea Lion Insurance Networking dinner ambayo ilikuwa ni maalum kwa ajili ya...

PICHA: HARUSI YA JUMA RAMADHANI NA MKEWE KIPENZI SAIDA HAJI: DIAMOND JUBILEE-VIP HALL: 01.09.2018

Wazazi wa bwana harusi, Mr & Mrs.  Ramadhani wakiingia ukumbini Best man na Matron wakiingia ukumbini Maharusi, Mr. & Mrs. Juma Ramadhani wakiingia ukumbini MC....

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWA WATUMISHI WA KITUO CHA MTONI DIAKONIA: SUNRISE BEACH RESORT-KIGAMBONI: 31.08.2018

Dr. Chris Mauki akifundisha watumishi wa kituo cha Udiakonia shule maalum ya Mtoni katika mafunzo ya siku moja ya kuwajengea uwezo watumishi hao.  Kwa mahitaji ya MC...

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWA WAMAMA NA MABINTI WA WOMEN OF GRACE MINISTRY: VCCT-MBEZI BEACH: 22.08.2018

Mch. joyce Nkone kwa niaba ya uongozi wa Women of Grace Ministry akimkaribisha Dr. Chris Mauki ili aongee na wamama na mabinti waliofika katika event hiyo maalum...

PICHA: HARUSI YA ALLEN MAFFALA NA MKEWE VICKY HERZOG: BAHARI BEACH-LADGER PLAZA: 18.08.2018

Baadhi ya ndugu na marafiki wa Vicky Herzog (Mke wa Allen) kutoka ujerumani hadi Tanzania kuja kushuhudia harusi ya ndugu yao. Mwenyekiti wa kamati, Mr. Kipasika akitoa...

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWENYE BAGPARTY YA BERNARD MUMWI: KILUVYA: 12.08.2018

Bwana harusi mtarajiwa, Bernard Mumwi (Mtoto wa pili wa Brigedia General Mumwi, Balozi wa Tanzania nchini Urusi) akiingia ukumbini huku akisindikizwa na dada zake. Sala...