Category: Matukio

PICHA: USIKU WA SEND OFF YA CATHERINE MUGAYA: DIAMOND JUBILEE HALL: 09.02.2019

Bibi harusi mtarajiwa, Catherine Mugaya akiingia ukumbini MC. Dr. Chris Mauki Wazazi wa bibi harusi mtarajiwa, Mr. & Mrs. Mugaya wakitoa neno la baraka kwa binti yao...

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KATIKA EVENT YA MANPOWER CONFERENCE: AKEMI CONFERENCE HALL-POSTA: 02.09.2019

Dr. Chris Mauki akiongea na wanaume waliojitokeza katika event ya Manpower Conference    Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off,...

PICHA: RELATIONSHIP TALK YA DR. CHRIS MAUKI KATIKA EVENT YA PH INSPIRATIONAL SERIES: PEACOCK HALL-MBEZI GARDEN: 09.02.2019

Dr. Chris Mauki akiweka nondo sawa kabla ya kuanza kufundisha Dr. Chris akifundisha  namna ya kuwa na mtazamo chanya kuhusu maisha hata kama mtu anapitia kipindi kigumu...

PICHA: RELATIONSHIP TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU KATIKA EVENT YA CAMPUS CAMP: VCCT-MBEZI BEACH: 02.02.2019

Dr. Chris Mauki akiongea na wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali katika event ya Campus Camp iliyofanyika katika kanisa la VCCT Mbezi Beach Kwa mahitaji ya MC katika...

PICHA: PSYCHOLOGICAL PREPARATION FOR RETIREMENT TRAINING YA DR. CHRIS MAUKI KWA STAFF WA PUMA ENERGY ILIYOANDALIWA NA ATE: SOUTHERN SUN HOTEL: 16.01.2019

Topic ya kwanza ya Dr. Chris Mauki kwa staff  wa Puma Energy  Dr. Chris Mauki akifundisha kuhusu namna ya kujiandaa kustaafu Topic ya pili ya Dr. Chris Mauki kwa staff...

PICHA: TALK YA DR.CHRIS MAUKI KUHUSU TEAM BUILDING KWA STAFF WOTE WA DAWASA-DAR ES SALAAM: RUVU CHINI-PWANI: 05.01.2019

Dr. Chris Mauki akiongea na mamia ya wafanyakazi wa Dawasa-Dar es salaam kuhusu umuhimu wa kufanya kazi ka team ili kufikia malengo la Dawasa.  Mamia ya wafanyakazi wa...

PICHA: USIKU WA SEND OFF YA JENIPHER FOCUS MROSSO: ELEGANCE HALL-SINZA: 02.01.2019

Bibi harusi mtarajiwa, Jenipher Focus Mrosso akiingia ukumbini Mwenyekiti wa kamati, Mr. Julius Macha akitoa neno la ukaribisho kwa wageni waalikwa  MC. Dr. Chris...

PICHA: HARUSI YA MAPACHA KULWA EDWARD NDAGA NA MKEWE IRENE PAMOJA NA DOTO EDWARD NDAGA NA MKEWE EVA: FLAMINGO HALL-MBEZI BEACH: 29.12.2018

Wasimamizi wa  harusi ya mapacha Doto Ndaga na Kulwa Ngada wakiingia ukumbini Couple ya kwanza ya Mr. Kulwa Edward Ndaga na mkewe kipenzi Irene wakiingia ukumbini...

PICHA: HARUSI YA AMANI PHILLIP MACHA NA MKEWE KIPENZI SIA: PRIMROSE HALL-MBEZI BEACH: 22.12.2018

Best man & Matron wakiingia ukumbini Maharusi, Mr. & Mrs. Amani Macha wakiingia ukumbini MC. Dr. Chris Mauki Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za...

DARASA LA ALHAMISI NA DR. CHRIS MAUKI: VITU 10 AMBAVYO HUTAKIWI KUMWAMBIA MWANAMKE KATIKA MAHUSIANO

VITU 10 AMBAVYO HUTAKIWI KUMWAMBIA MWANAMKE KATIKA MAHUSIANO Sio jambo jema kabisa na linalopendelewa na mwanamke kuulizwa “naweza kukubusu?” wao hupendelea kuona...