Category: Matukio

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KUHUSU PARENTING KWA STAFF WA KIWANDA CHA SIGARA TANZANIA (TCC): 16.10.2018

Ikiwa ni siku ya pili Dr. Chris Mauki kuzungumza na staff wa kiwanda cha sigara Tanzania (TCC). Siku ya leo alipata nafasi ya kufundisha jinsi ya kumlea mtoto mwenye...

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KUHUSU LIFE SKILLS KWA STAFF WA KIWANDA CHA SIGARA TANZANIA (TCC): 15.10.2018

General Manager wa kiwanda cha Sigara Tanzania (TCC) Mr. Alan akimkaribisha Dr. Chris Mauki ili kuongea na staff wa TCC. Dr. Chris Mauki akifundisha somo la “Life...

PICHA: TRAINING YA DR. CHRIS MAUKI KUHUSU “CORPORATE ETIQUETTE” KWA STAFF WA VODACOM-HEADQUARTER-DAY TWO: 12.10.2018

Leo ilikuwa ni siku ya pili ya training ya Dr. Chris Mauki kuhusu Corporate Etiquette kwa staff wa Vodacom makao makuu  Dr. Chris Mauki akifundisha kuhusu Corporate...

PICHA: TRAINING YA DR. CHRIS MAUKI KUHUSU “CORPORATE ETIQUETTE” KWA STAFF WA VODACOM-HEADQUARTER-DAY ONE: 11.10.2018

Hii ndio ilikuwa topic aliyofundisha Dr. Chris Mauki kwa staff wa Vodacom makao makuu Staff wa Vodacom wakiwa tayari kabisa kusikiliza darasa la Dr. Chris Mauki kuhusu...

PICHA: HARUSI YA EVARIST MAGEMBE NA MKEWE KIPENZI URIA MWAKILA: DANKEN HOUSE-MIKOCHENI: 07.10.2018

Best man & Matron waliosimamia usiku wa Evarist Magembe na mkewe Uria Mwakila Maharusi, Mr. & Mrs. Evarist Magembe wakiingia ukumbini ndani ya Danken House MC....

PICHA: HARUSI YA AGGREY GODFREY DUDU NA MKEWE KIPENZI JACQUELINE WEREMA: MSASANI TOWER HALL: 06.10.2018

Best man & Matron wakiingia ukumbini Maharusi, Mr. & Mrs. Aggrey Dudu wakiingia ukumbini ndani ya Msasani tower  MC. Dr. Chris Mauki Wazazi wa bibi harusi, Mr...

PICHA: TRAINING YA DR. CHRIS MAUKI KUHUSU CUSTOMER CARE KWA STAFF WA AFRICAN MICROFINANCE LIMITED: 05.10.2018

Wafanyakazi wa African Microfinance Limited wakifuatilia darasa la Dr. Chris Mauki kuhusu njia bora za kuhudumia wateja (Customer care) Dr. Chris Mauki akiongea na...

PICHA: USIKU WA SEND OFF YA MARIAM BRASHI: HELLENIC GARDEN-POSTA: 04.10.2018

PICHA: HARUSI YA STEVEN TOWO NA MKEWE KIPENZI MARY KESSY: EMPIRE HALL-TABATA: 08.09.2018

Best man na Matron waliosimamia harusi ya Steven na mkewe Mary MC. Dr. Chris Mauki akiwaingiza maharusi ukumbini Maharusi, Mr. & Mrs. Steven Towo wakiingia ukumbini...

PICHA: TRANSLATORS NETWORK INTERNATIONAL CONFERENCE YA KANISA LA CHRIST EMBASSY: MLIMANI CITY HALL: 08.09.2018

Team ya Praise and worship wakiimba katika event ya Translators Network International Conference.  Dr. Chris Mauki akisimamia event kama moderator  Dr. Chris Mauki...