Category: Mahusiano

BAADHI YA PICHA ZA MATUKIO NILIYOWAHI KUFANYA

Nikitoa mada katika mkutano mkuu wa PPF AICC Arusha  Nikiongoza harusi kama MC  Mimi na mkewangu Miriam Mauki tukiongoza sherehe Oyster bay Police Officers...

SABABU NYINGINE YA KUAMINI KUWA WANAWAKE WENGI HAWAFIKI KILELENI

Tafiti za kisayansi na kibaiolojia zinaeleza kwamba mwanamke huchukua kati ya dakika 7 hadi 18 za uume kuwa ndani ya uke ili aweze kufikia kileleni, ingawa hapa sio tu...

WATCH MY INTERVIEW ON MAHUSIANO

impact is noticed

It is always good, always pleasing when your impact is noticed. Lets strive to leave a legacy behind us.

HABARI NJEMA HABARI NJEMA

Vile vitabu vya JITAMBUE KISAIKOLOJIA: HATUA KWA HATUA KUELEKEA MAFANIKIO YA KWELI. sasa vinapatikana Mlimani City kwenye duka la vitabu la MAK SOLUTIONS. Bei ni ile ile...

JE UNAJUA KWAMBA KUKARIBIANA KWETU KIMAHUSIANO KUNAANZIA KWENYE HARUFU?

Utafiti uliofanywa nchini Switzerland umeonyesha kwamba mara mwanaume na mwanamke wanapoonana kwa mara ya kwanza na mmoja kuvutiwa na mwingine au wote kuvutiwa, huwa...

TOFAUTI YA MUDA WA FAMILIA NA MUDA WA MPENZI WAKO

Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa na muda na mpenzi wako “quality time with your love” na kuwa na muda na familia “quality time with your...

UTOFAUTI WA MTAZAMO BAINA YA MWANAUME NA MWANAMKE KWENYE MAHUSIANO

Katika kipindi cha urafiki au uchumba ukisikia mwanaume anasema “huyu mwanamke hana future” kwake anamaanisha huyu mwanamke sio wakumtegemea kwenye masuala ya...

JIHADHARI MAHUSIANO YAKO YANAPOONYESHA TAA NYEKUNDU

Kama unaona mawasiliano baina ya wewe na mpenzi wako yanaelemea zaidi kwenye kuzungumzia masuala kama vile, watoto, kazi, biashara, pesa, ndugu, mashamba, ujenzi,...

MAENEO UNAKOWEZA KUVIPATA VITABU VYA JITAMBUE KISAIKOLOJIA, CD’S NA DVD’S ZA CHRIS MAUKI

Sasa kitabu cha “Jitambue kisaikolojia: Hatua kwa hatua kuyafikia mafanikio ya kweli” cha Chris Mauki kinapatikana Maznat Bridal Care Mikocheni karibu na...