Category: Mahusiano

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KUHUSU RELATIONSHIP EXCELLENCE IN CAMPUS ILIYOANDALIWA NA CAPSTONE FELLOWSHIP: BAHARI BEACH: 01.12.2018

Miriam Lukindo Mauki akihudumu kwa kuimba kabla ya Dr. Chris Mauki kupanda na kuongea na wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali kuhusu Relationship Excellence in Campus  Dr....

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWA WANACHAMA WA ASSOCIATION OF TANZANIAN ADVENTIST PROFESSIONALS AND ENTREPRENEURS: MBEZI GARDEN: 30.11.2018

  Dr. Chris Mauki akifundisha kuhusu umuhimu wa kuwa na malengo na jinsi ya kuyafikia  Wanachama wa Association of Tanzanian Adventist Professionals and...

PICHA: DR. CHRIS MAUKI KATIKA PANEL DISCUSSION KUHUSU CHARACTER DEVELOPMENT KWA WAFANYAKAZI WA MAKAMPUNI- LINDAM ACADEMY: 30.11.2018

Asha Sinare akifungua rasmi panel discussion kuhusu character development Ms. Zuhura Sinare Muro, Managing Director wa Lindam Group Limited akiongea kuhusu developing a...

PICHA: MAHUBIRI YA DR. CHRIS MAUKI KWA WAUMINI WA KANISA LA T.A.G-CHANGANYIKENI: 25.11.2018

Mchungaji Muro wa kanisa la TAG-Changanyikeni akimkaribisha Dr. Chris Mauki ili aongee na waumini wa kanisa hilo katika ibada ya kwanza Dr. Chris Mauki akitoa salamu...

PICHA: RESULT BASED LEADERSHIP TRAINING YA DR.CHRIS MAUKI KWA WAKUU WA IDARA KUTOKA DUCE: TASUBA-BAGAMOYO: 24.11.2018

Wakuu wa idara kutoka Dar es Salaam University College of Education wakifuatilia training  kutoka kwa Dr. Chris Mauki kuhusu result oriented leadership  Topic ambayo...

DARASA LA ALHAMIS NA DR. CHRIS MAUKI: NINI KINACHOWAFANYA WANAUME WENGI KUWAKIMBIA WANAWAKE MWANZONI MWA MAPENZI?

NINI KINACHOWAFANYA WANAUME WENGI KUWAKIMBIA WANAWAKE MWANZONI MWA MAPENZI?   Utangulizi: Kila mwanaume aingiapo katika mahusiano huanza uchunguzi kimyakimya,...

PICHA: HARUSI YA ROMAN MATEI NA MKEWE KIPENZI YUSTINA: DELUXE HALL-SINZA: 19.11.2018

Mr. Roman Matei akiingia ukumbini na mke wake kipenzi Yustina Mwenyekiti wa kamati Mr. Mwakajumba akitoa neno la ukaribisho kwa wageni waalikwa  Bwana harusi, Mr. Roman...

PICHA: USIKU WA SEND OFF YA MAGDALENE MASAULWA: DELUXE HALL-SINZA: 15.11.2018

MC. Dr. Chris Mauki Bibi harusi mtarajiwa, Magdalene Masaulwa akiingia ukumbini  Mwenyekiti wa kamati Mr. Makota akiwakaribisha wageni waalikwa waliofika ukumbini ...

PICHA: HARUSI YA MENUS MANYANGA NA MKEWE KIPENZI MIRIAM: GOLDEN MEMORY HALL: 11.11. 2018

Maharusi, Mr. & Mrs. Menus Manyanga wakiingia ukumbini MC. Dr. Chris Mauki Maharusi wakikata keki yao ya siku ya harusi Best man na Matron wakigonga glasi za...

PICHA: HARUSI YA MKWAY ANDREW TUMBO NA MKEWE KIPENZI LYDA: KAWE BEACH: 10.11.2018

MC. Dr. Chris Mauki akiteta jambo na wanakamati kabla ya kuwaingiza maharusi  ukumbini Maharusi, Mr. & Mrs. Mkway Tumbo wakiingia ukumbini Maharusi, Mr. & Mrs....