Category: Mahusiano

PICHA: HARUSI YA ABDU MUSA NA MKEWE KIPENZI NEEMA: DANKEN HALL: 12.01.2019

Maharusi, Mr. & Mrs. Abdu Musa wakiingia ukumbini kwenye usiku wa harusi yao  Mwenyekitiwa kamati, Mr. Muhidini akitoa neno la ukaribisho kwa wageni waalikwa MC....

DARASA LA ALHAMISI NA DR. CHRIS MAUKI: ZIFAHAMU MBINU BORA KATIKA MALEZI

ZIFAHAMU MBINU BORA KATIKA MALEZI Utangulizi Malezi yawezekana kutolewa kwa watoto wetu au ndugu zetu au hata watoto wa wenzetu. Hakuna mzazi au mlezi mwenyekusudi au...

DARASA LA ALHAMISI NA DR. CHRIS MAUKI: MAMBO MATANO MUHIMU YATAKAYO KUSAIDIA KUYALINDA MAHUSIANO YAKO

  MAMBO MATANO MUHIMU YATAKAYO KUSAIDIA KUYALINDA MAHUSIANO YAKO Wakati wowote mahusiano baina ya mume na mke au wapenzi wowote ni kitu cha maana na kinachotakiwa...

PICHA: HARUSI YA BARAKA GEORGE OPIYO NA MKEWE KIPENZI NEEMA: BUFALLO HALL-MBEZI BEACH: 16.12.2018

Best man na Matron wakisafisha njia kabla ya maharusi kuingia ukumbini Maharusi, Mr. & Mrs. Baraka George Opiyo wakiingia ukumbini MC. Dr. Chris Mauki Kwa mahitaji...

PICHA: USIKU WA HARUSI YA HALLELUYA EZEKIEL NGAO NA MKEWE KIPENZI JACQUELINE: LADARIOT HALL: 15.12.2018

Best man na Matron wakiingia ukumbini Wenye shughuli yao, Mr. & Mrs. Halleluya Ngao wakiingia ukumbini MC. Dr. Chris Mauki akitoa ufafanuzi kuhusu utaratibu wa...

DARASA LA ALHAMISI NA DR. CHRIS MAUKI: IELEWE KANUNI YA 90/10 (THE NINETY-TEN PRINCIPLE)

IELEWE KANUNI YA 90/10 (THE NINETY-TEN PRINCIPLE) Kanuni hii ni ya muhimu sana na itakusaidia katika huyabadili maisha yako, kubadili namna  unavyoyapokea au...

DARASA LA ALHAMISI NA DR. CHRIS MAUKI: MAMBO MATANO MUHIMU YA KUFANYA KABLA YA KUFIKIA MIAKA 40

  MAMBO MATANO MUHIMU YA KUFANYA KABLA YA KUFIKIA MIAKA 40   Jiwekee malengo ya kifedha Weka maamuzi binafsi ya nini unachokihitaji na wapi unakotaka uwe kimaisha...

PICHA: HARUSI YA JAMAL GODLISTEN RAMADHANI NA MKEWE KIPENZI SARAH: BUDGET RESORT HALL: BAHARI BEACH: 01.12.2018

MC. Dr. Chris Mauki Best man na Matron wakiingia ukumbini Maharusi, Mr. & Mrs. Jamal Godlisten wakiingia ukumbini Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za...

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KUHUSU RELATIONSHIP EXCELLENCE IN CAMPUS ILIYOANDALIWA NA CAPSTONE FELLOWSHIP: BAHARI BEACH: 01.12.2018

Miriam Lukindo Mauki akihudumu kwa kuimba kabla ya Dr. Chris Mauki kupanda na kuongea na wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali kuhusu Relationship Excellence in Campus  Dr....

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWA WANACHAMA WA ASSOCIATION OF TANZANIAN ADVENTIST PROFESSIONALS AND ENTREPRENEURS: MBEZI GARDEN: 30.11.2018

  Dr. Chris Mauki akifundisha kuhusu umuhimu wa kuwa na malengo na jinsi ya kuyafikia  Wanachama wa Association of Tanzanian Adventist Professionals and...