Category: Mafanikio

DARASA LA ALHAMISI NA DR. CHRIS MAUKI: MAMBO MUHIMU YAKUZINGATIA ILI KUBORESHA MAHUSIANO

MAMBO MUHIMU YAKUZINGATIA ILI KUBORESHA MAHUSIANO Tunaposema mahusiano tunamaanisha Mahusiano baina ya marafiki wa jinsia moja Mahusiano baina ya wanafamilia Mahusiano...

NYUMA YA PAZIA (BEHIND THE SCENE) SIMULIZI YA KWELI YA MAISHA YA DR. CHRIS MAUKI-SEHEMU YA TANO

NYUMA YA PAZIA (BEHIND THE SCENE) Simulizi ya Kweli ya Maisha ya Dr. Chriss Mauki SEHEMU YA 05 Matokeo yanatoka na kwa mshangao wa kila mmoja, nimefanya vizuri. Napata...

NYUMA YA PAZIA (BEHIND THE SCENE) SIMULIZI YA KWELI YA MAISHA YA DR. CHRIS MAUKI-SEHEMU YA NNE

NYUMA YA PAZIA (BEHIND THE SCENE) Simulizi ya Kweli ya Maisha ya Dr. Chris Mauki SEHEMU YA 04 Akizungumza kuhusu taaluma yake, maswali kadhaa yaliendelea kichwani...

NYUMA YA PAZIA (BEHIND THE SCENE) SIMULIZI YA KWELI YA MAISHA YA DR. CHRIS MAUKI- SEHEMU YA TATU

NYUMA YA PAZIA (BEHIND THE SCENE) Simulizi ya Kweli ya Maisha ya Dr. Chriss Mauki SEHEMU YA 03 Jinsi nilivyozidi kumfahamu Miriam, hata kabla hatujaoana, nilijua kwamba...

DARASA LA ALHAMISI NA DR. CHRIS MAUKI: IELEWE HASIRA NA CHIMBUKO LAKE

IELEWE HASIRA NA CHIMBUKO LAKE  (Msaada katika kuyaboresha mahusiano yetu) Hasira ni hisia nzito zinazoambatana na maumivu ya moyo. Ingawa ni mojawapo yahisia...

DARASA LA ALHAMISI NA DR. CHRIS MAUKI: JINSI YA KUJIJENGEA UWEZO WA KUFANYA MAAMUZI YALIYO BORA

JINSI YA KUJIJENGEA UWEZO WA KUFANYA MAAMUZI YALIYO BORA Katika maisha yetu ya kila siku mara nyingi tunajikuta katika mazingira yanayotulazimu kufanya maamuzi magumu au...

DARASA LA ALHAMISI NA DR. CHRIS MAUKI: MBINU ZA KUKUZAIDIA KUWEKA UWIANO MZURI BAINA YA KAZI YAKO NA MAISHA MENGINE

MBINU ZA KUKUZAIDIA KUWEKA UWIANO MZURI BAINA YA KAZI YAKO NA MAISHA MENGINE “Work – life balance” Maranyingi ni kitu kinachoonekana hakiwezekani na ni kigumu kwa...

DARASA LA ALHAMISI NA DR. CHRIS MAUKI: JINSI YA KUJIJENGEA UWEZO ULIO BORA NA WENYE UFANISI KATIKA KUWASILIANA

JINSI YA KUJIJENGEA UWEZO ULIO BORA NA WENYE UFANISI KATIKA KUWASILIANA “Becoming an effective communicator”   Ni vema tukikubaliana na ukweli kwamba hakuna...

DARASA LA ALHAMISI NA DR. CHRIS MAUKI: IELEWE KANUNI YA 90/10 (THE NINETY-TEN PRINCIPLE)

IELEWE KANUNI YA 90/10 (THE NINETY-TEN PRINCIPLE) Kanuni hii ni ya muhimu sana na itakusaidia katika huyabadili maisha yako, kubadili namna  unavyoyapokea au...

VITABU NA DVD’s ZA DR. CHRIS MAUKI SASA KUPATIKANA QUALITY PLAZA NA MBEZI BEACH SAMAKI