chris mauki

PICHA: COUPLES TALK AT SEDUTA HOTEL 06.04.2015

Siku ya Jumatatu ya Pasaka nilipata fursa ya kuwa msemaji katika Couples talk iliyofanyika katika hoteli ya Seduta pale Salasala. Ilikuwa njema sana maana kila mwanandoa...

DARASA LA ALHAMIS na CHRIS MAUKI: FAIDA NA HASARA ZA MAJIBIZANO KATIKA MAHUSIANO

Sidhani kama kuna ambaye hajawahi kujikuta kwenye majibizano na mpenzi wake, ziko hata nyakati mnaingia katika mlipuko wa majibizano hata mnashindwa kujua sababu ya...

TALKING BUSINESS NAIPENDA HII SHUHULI SANA

 Uplands Centre with Amity Group  The City Garden

PICHA: RELATIONSHIP TALK NA AMITY GROUP: UPLANDS CENTRE- CHANGANYIKENI 29.3.2015

Tarehe 29.3.2015 mchana kuanzia saa kumi nilipata fursa ya kuungana na kikundi shupavu na chenye hamasa sana cha Amity “Amity Group” ambao walikusanyana...

PICHA: TALK KWA VIJANA WA PAROKIA YA MSEWE: Tarehe 29 – 3 – 2015

Siku ya J2 tar 29.3.2015 Kuanzia saa sita hadi saa tisa mchana nilipata fursa ya kuzungumza na vijana wa kanisa Catholic Parokia ya Msewe. Topic ilikuwa “Mbinu...

USIPITWE NA USHUHUDA HUU WA KWELI “KUTOKA MAPITO MAKALI HADI USHINDI KTK NDOA”

Kaka Chris, Salaam Nimemua kuandika makala hii kenye blog yako kwasababu najua wanadoa wengi wanapenda kuisoma na ndiyo walengwa wa habari hii ya kweli iliyonitokea. Ni...

THE AMITY GROUP NA DR. CHRIS MAUKI WANAKULETEA TALK YA MAHUSIANO, 29 MARCH 2015 – UPLANDS CENTRE: CHANGANYIKENI

 Kila kitu kinajieleza hapo, hii ni nyingine ambayo sio ya kukosa kwa wale wapenda mabadiliko. Kwa maelezo zaidi wasiliana na namba hizo hapo kwenye tangazo.

PICHA: MARRIAGE REVIVAL SEMINA PALE MIKOCHENI B ASSEMBLIES OF GOD MLIMA WA MOTO 6.03.2015

 Siku ya tar 6.3.2015 Nilipata heshima ya kukaribishwa na mtumishi wa Mungu Mama Dr. Getrude Rwakatare kuwa mzungumzaji katika marriage revival seminar pale...

MARRIAGE REVIVAL SEMINAR – MIKOCHENI “B” ASSEMBLIES OF GOD TAR. 6. MARCH. 2015 IJUMAA

Nimepata tena heshima kubwa ya kuwa mzungumzaji katika Marriage Revival Seminer ndani ya Mikocheni “B” Assemblies of God Mlima wa Moto siku ya Ijumaa tar 6...

CAUGHT ON CAMERA, CHRIS AND MIRIAM & TIPS ZA MAHUSIANO

 I dont really remember ninini nilikuwa ninawaza hapa, but something funny was happening in her phone  Kuangaliana kwa smile mara nyingi kunazitoa nje hisia za...