chris mauki

PICHA: BIDHAA MPYA RM COLLECTIONS, WAHI SASA

 Majamboz ya pale kitandani  Suti za aina mbalimbali za wanaume Kwa mawasiliano zaidi ya simu na email angalia chini ya picha ya mwisho, wahi mzigo wa maana

DARASA LA ALHAMIS na DR. CHRIS MAUKI: TOFAUTI ZA KIJINSIA NA JINSI ZINAVYOATHIRI MAHUSIANO YETU (Gender differences and the affect our relationships)

Matatizo mengi tunayokutana nayo katika mahusiano yetu ya kila siku yanatokana na sababu  zinazohusiana na tofauti zetu za kijinsia. Ile tu kwamba mpenzi wako ni...

PICHA: BAG PARTY YA KAKA ALLEN JACKSON MOSHI

Wazazi wa kaka Allen, Mr na Mrs Jackson Moshi waliamua kumkalisha kijana wao mpendwa anayetarajia kufunga ndoa ili afundishwe na kuelekezwa machache na ya msingi katika...

PICHA: MAHAFALI YA KWANZA YA CHUO CHA TANZANIA INSTITUTE OF PROJECT MANAGEMENT – KARIMJEE HALL. 11.04.2015

Siku ya Jumamosi tar 11.04.2015 ilikuwa siku ya furaha kwa wafanyakazi na wanafunzi wa chuo cha TPMI baada ya kuweza kufanya mahafali yao ya kwanza ya chuo hicho....

PICHA: NIKWAJINSI GANI UPO TAYARI KUSUPPORT KIPAJI AU KAZI YA MPENZI WAKO?

Juzi Ijumaa tar 10.04.2015 kulikuwa na mkesha wa kuabudu pale Mbezi Beach Lutheran church. Mke wangu Miriam alikuwa mmojawapo wa wahudumu. Kuimba na kufundusha waimbaji...

PICHA: SEND OFF PARTY YA REHEMA LEVI MGENI. BUFFALO HALL – MBEZI BEACH – 09.04.2015

 Rehema Mgeni ndani ya Buffalo Hall  ukitaka kutupata kwa huduma cheki hapa  Kama kawa nilikuwa nasimamia show pale kati  Kaka wa Bi harusi mtarajiwa...

TOFAUTI YA KUSIKIA NA KUSIKILIZA

Ipo tofauti kubwa kati ya kumsikia mtu na kumsikiliza mtu. Vitu tunatakiwa kuvisikia na watu tunatakiwa kuwasikiliza. Hapa nikimsikiliza biharusi mtarajiwa Rehema Mgeni...

VIDEO: MFAHAMU MWANAUME na DR. CHRIS MAUKI

Tafiti zinaonyesha kuwa misuguano mingi baina ya wapendanao husababishwa na mmoja wapo au wote kutokuwa na uelewa mzuri wa namna mwenzake alivyo kiasili na kwa hivyo...

PICHA: TALK KATIKA KITCHEN PARTY YA SHUBY TAREHE 07.04.2015

Siku ya Jumanne tar 7.04.2015 ambayo ilikuwa ni sikukuu ya Karume Day, nilipata fursa ya kufanya talk katika Bridal shower ya aina yake ya Shuby, mwana dada huyu aishiye...

PICHA: TALK NDANI YA KITCHEN PARTY YA JULIETH PALE DANKEN HOUSE MIKOCHENI TAR. 7.03.2015

 Kiukweli Julieth Ulipendeza  Hapa ndipo niliposimama kuanza kumwaga nondo  Teaching and motivational talks ndani ya blood