chris mauki

PICHA: HARUSI YA KENNETH LEVERI NA GLORY. MSASANI TOWER.TAR 01.05.2015

Baada ya talk ya Anglican Magomeni nikajivuta kuendeleza talent pale Msasani Tower kwenye wedding murua ya Kenneth na Glory. Angalia picha hizi hapa Kwa mahitaji ya MC...

PICHA: SEMINA KWA VIJANA – ANGLICAN CHURCH MAGOMENI. TAR 01.05.2015

Tarere 1.5.2015 mchana nilipata nafasi ya kuwa mmoja wa wasemaji katika semina ya vijana iliyoandaliwa na uongozi wa kanisa la Anglican Magomeni na hapo nilikuwa...

DARASA LA ALHAMIS na DR. CHRIS MAUKI: TOFAUTI ZA KIJINSIA NA JINSI ZINAVYOATHIRI MAHUSIANO YETU. PART 2

Wanawake wanachosema juu ya wanaume ·         Wanaume hawawezi kuzielezea hisia zao vyakutosha...

PICHA: HARUSI YA GOODWILL NA JOYCE ILIVYOBAMBA NDANI YA BLUE PEARL UBUNGO PLAZA TAR. 25.04.2015

Baada ya kutoka Loyola kuzungumza na wazazi asubuhi mpaka mchana siku ya Jumamosi 25.04.2015, jioni nikavamia kambi ya kuendesha shuhuli kubwa na iliyofana ya harusi ya...

KWA WANAOHITAJI HUDUMA YA USHAURI WA KISAIKOLOJIA “COUNSELLING”

Kama unahitaji huduma ya ushauri wa kisaikolojia “counselling” katika masuala mbalimbali ya maisha usisite kuwasiliana nasi kwa 0717 052 328, utapewa namna...

VIDEO: Dr Chris Mauki: Nafasi ya mzazi kama mlezi

PICHA: PARENTING TALK NA WAZAZI WA WANAFUNZI WA LOYOLA HIGH SCHOOL – TAR. 25.04.2015

Siku ya Jumamosi ya Tar 25.04.2015 asubuhi nilipata nafasi ya kualikwa na uongozi wa wazazi na wa shule ya Loyola ili kuzungumza na wazazi kuhusu masuala ya malezi na...

MAHITAJI YA MWANAUME: KILA SIKU HAKIKISHA ANAFURAHI

MAHITAJI YA MWANAUME 1.     Kutoshelezwa ktk tendo la ndoa – kuambiwa umependeza, nakupenda kunaweza kumtosheleza mwanamke lakini sio mwanaume, yeye anahitaji...

MAHITAJI YA MWANAMKE: JITAHIDI KUMFANYA MPENZI WAKO AFURAHI

MAHITAJI YA MWANAMKE   1.     Mvuto na ukaribu (affection) – maneno na matendo yachochee mvuto na ukaribu, Kwamfano. Kukubali alivyopendeza, kumsifia nk...

PICHA: HARUSI YA KUFANA YA RYAN NA RESTITUTA KAMUNDE. TAR. 18.4.2015 POLICE OFFICERS MESS – OYSTERBAY

Siku ya Jumamosi ya tarehe 18.04.2015 ilikuwa ni siku ya furaha sana kwa kijana Ryan mwenyeji wa kabila la Meru la nchini Kenya na mfanyakazi wa kampuni ya simu ya Tigo...