Baraka Daniel

HAYA WALE WA KANDA YA ZIWA. MWANZA TUNAKUJA

Jumapili hii Tar 10 nitakuwa Gold crest Hotel Mwanza kuanzia saa nane mchana. Couples night gala, itabamba zaidi ya ile ya mwaka uliopita. Mtu wangu wa unayeweza kufika...

CRAZY CYCLE

Wakati mwanamke anahesabu kupendwa na kuonyeshwa penzi ni pale mwanaume anapoonyesha kuwa anamuelewa, anamjali, anajali hisia zake, kama vile kufahamu nyakati ambazo...

COUPLES’ FRIENDS NYAMA CHOMA EVENT AT OCEANIC MBWENI JANA IDI PILI

   Wote tulisubiriana Boko magengeni sheli ya Oil om kabla ya kuanza kuelekea Oceanic, huyu ni Protas Godwin na mkewake  Mara tu baada ya kufika Oceanic...

DARASA LA ALHAMISI na CHRIS MAUKI: FAHAMU AINA ZA MIGONGANO “MIGOGORO” BAINA YA WAPENDANAO

Mara nyingi wapendanao huwa na njia mbali mbali wanazozijua wao katika kukorofishana au kusuluhishana pale walipo korofishana. Labda njia au staili hizi wameamua na...

ANGALIA JINSI TOFAUTI YA KIMTAZAMO INAVYOWEZA KULETA MKANGANYO KWENYE MAHUSIANO YAKO

Maranyingi unapoongea na mpenzi wako  wa kiume au mume wako na ukaona kama hakuelewi ingawa anakuangalia, unamshangaa na labda kumkasirikia, yamkini hujui kwamba...

The BREAKFAST before the breakfast: IT’S ABOUT WALKING THE TALK NOT TALKING THE WALK

Hii ni leo asubuhi kama ilivyo siku nyingine mimi na Miriam tukiwa nyumbani. wanasema “A healthy mind in a healthy body”. Tumeongeza chumba cha zaidi...

JE UNALIJUA CHIMBUKO LA HIZO TABIA UNAZOZICHUKIA ZA MPENZI WAKO??

  Pamoja na ukweli wa tafiti kwamba jinsi tunavyozielezea na kuzionyesha na kuzidhihirisha hisia zetu baina ya wanaume na wanawake au mke na mume hutegemea na utofauti...

DARASA LA ALHAMIS na CHRIS MAUKI: JE WEWE UNAFANYANINI UNAPOJIKUTA KATIKA MGOGORO NDANI YA MAHUSIANO?

Kila mmoja wetu anapoingia katika mahusiano hata yale ya ndoa huwa amejitengenezea namna yake binafsi ya kushughulikia migogoro, namna hii yaweza kuwa njema au...

WHAT A SURPRISE FOR ME!!! KIDOGO NIZIMIE AIRPORT

 My mom, wakati wa suprise party nyumbani kwa kaka Kombe  Watoto nao walikuwepo, Priella, Privella na Praise wa Mtui,  Briella wa Nkya na Rommy wa Mauki...

ROMMY CHRIS MAUKI HAS JUST TURNED 7

 Such a potential and vibrant future motivational speaker  Always proud of you my daughter Happy birthday Rommy. We thank God for you