Baraka Daniel

JE UNAIJUA FURAHA “FEKI”??

Ikiwa unapata furaha ya aina yeyote nje ya furaha unayoipata kwenye familia yako (hapa namaanisha furaha kutoka kwa mwenza wako na watoto wako) fahamu hiyo furaha ni...

KWA WAZAZI NA WALEZI WAISHIO KIGAMBONI. KITUO KIPYA CHA WATOTO KINAKUJIA SOOOOON

Mazingira na mandhari utaipenda kwa ajili ya mtoto wako. DALLAS KIDS ZONE NURSERY, DAY CARE AND PLAY GROUND. Kibada Kigamboni. Kwa mawasiliano zaidi 0777 47 64 76

KWA WALE WANAODHANI WANACHUMBIWA: JIULIZE KWANZA

Ewe dada unapokuwa kwenye mahusiano na mwanaume kabla ya ndoa, hatakama amekuahidi kukuoa au ameshakutambulisha kwao au hata kukuvisha pete, au kukuahidi vingine vingi...

HIVI UNAJISIKIAJE?

Hivi unajisikiaje pale ambapo mpenzi wako anakuumiza na kukutesa moyo wako na unapokumbuka huko nyuma kabla ya kuwa naye huyo au kabla ya kuoana naye uliwahi kuwa na...

CHUKUA DAKIKA ZAKO TANO KUANGALIA PICHA ZA HARUSI YA ROBERT LAWERE NA MKEWE NSIA. KIRAMUU HALL 16.8.2014

 Brides maids wakiingia ukimbini Kiramuu  Dada wa Bwana harusi Haika Lawere Boss wa Mbezi Garden Hotel akiongea  Robert na Nsia  MC Dr. Chris Mauki...

UCHAGUZI WA SUNNI MUSLIM JAMAAT KATIKA PICHA

KANUNI YA MABADILIKO MAISHANI (FORMULAR FOR CHANGE)

Change = (D X V X F2) > R Change = ( Dissatisfaction x Vision x More Faith) All these should exceed the Resistance you are facing Mabadiliko = (Kutoridhika na maisha x...

ILE TUMEKANYAGA MWANZA TU

Yani ile tumekanyaga tu Mwanza, mapokezi yakatushangaza kwanza, mbele waandishi na makamera, nyuma makamera ya video, Hamasa ya watu wa Mwanza kwenye hizi couples talks...

WAKATI UNAANGALIA MIAKA YAKE USISAHAU KUANGALIA UKUAJI WAKE WA AKILI (MENTAL AGE VS CHRONOLOGICAL AGE YA MPENZI)

Unaweza kukuta unakomaa kuangalia utofauti wa miaka yenu wewe na mpenzi wako na ukasahau kwamba kuna kitu kinaitwa mental age “ukuaji au upevukaji wa akili yake”....

DOZI YA JUMAMOSI: KAMA HUJUI JIFUNZE

Kumlinda na kusimama upande wa mke wako dhidi ya mawimbi ya ndugu au rafiki zako ni jukumu la mwanaume yeyote. Mwanaume asiyefanya hivyo au anayefanya tofauti na hivyo...