Chris Mauki

Dr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man

PICHA: HARUSI YA KUFANA YA PETER MTAVANGU NA JOYCE. MWIKA SOCIAL HALL – SINZA

DARASA LA ALHAMIS na DR. CHRIS MAUKI: Tabia za watu wasio na mafanikio na wasio na mazingira ya kufanikiwa

1. Ni watu wenye tabia ya kujipendelea wao wenyewe, watu wenye umimi na ubinafsi wakati wote 2. Ni watu wenye tabia ya ubishi na kupinga kila jambo, hususani lile ambalo...

SABABU YA 4 HADI YA 7: NINI KINAWAFANYA WANAUME KUWAKIMBIA WAPENZI WAO??

SABABU YA 4 HADI YA 7: NINI KINAWAFANYA WANAUME KUKIMBIA MAPEMA AU KUKWEPA KUJICOMMIT KWA MPENZI HUSUSANI SIKU ZA MWANZO WA MAHUSIANO. (Hitimisho la talk yangu ya jana...

NAFASI YA KAZI. SOS – TANZANIA: Funds Development Officer

SOS Children’s Villages Tanzania is an indigenous non government organization affiliated to SOS Children’s Villages International, a worldwide child care...

DARASA LA ALHAMIS na DR. CHRIS MAUKI: TABIA ZA WATU WALIOFANIKIWA AU WENYE MAZINGIRA YA KUJA KUFANIKIWA

  Kufanikiwa ni kiu ya kila mmoja ingawa ukweli ni kwamba wengi wetu tunabaki tunayatamani mafanikio wakati hatuna mazingira yeyote ya kuruhusu mafanikio hayo...

PICHA: HEALTHY MIND IN A HEALTHY BODY: UDSM GYM

Nikiwa na gym trainer wangu Mr. Swai, na pembeni ni my brother na rafiki Dr. Msangi bada ya kutoka jasho sanaaaa  gym ya chuo kikuu Mlimani. Picha kwa hisani ya Issa wa...

NIULIZE CHOCHOTE KUHUSU KAHAWA AU CHAI YENYE GANODERMA LUCIDUM KUTOKA ORGANO GOLD – HII NI FURSA

Tuulize kwa 0715 252523, au chrismauki57@gmail.com