Chris Mauki

Dr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man

PICHA: SEND- OFF YA HADIJA JUMANNE MADEBE. NEW MAWELLA SOCIAL HALL – 19.06.2015

Bi. Hadija Jumanne Madebe Katika Pozi, pale ambapo anaona watu wamejitokeza katika usiku wake ndani ya new mawella- Sinza

PICHA: JE UNAJENGA?? AU UNATAKA KUPAUA?? JIBU HILI HAPA

Kama unajenga au ndiyo uko kwenye kutaka kupaua basi huyu dogo atakuwa msaada sana kwako, very smart in work. Kijana na timu yake ni maarufu kwa jina “Emma...

SEMINA KWA VIJANA. SAVE THE DATE AND DONT MISS

DARASA LA ALHAMIS na DR. CHRIS MAUKI: JINSI YA KUMKUZA NA KUMLEA MTOTO MWENYE FURAHA (RAISING A HAPPY CHILD)

Ukweli kuhusu malezi 1. Malezi ni jukumu zito na linalohitaji kujitoa kwa hali ya juu sana, (labda tofauti na majukumu mengine mengi) bahati mbaya wazazi wengi hawayajui...

PICHA: THE MAUKI’s

PICHA: SEND OFF PARTY YA CLARA – BABIE SEKULE: FRANGIPAN GARDEN – ARUSHA. 04.06.2015

    Picha kwa hisani kubwa ya kaka Leonce Hyera wa LM NETWORK. Ofisi yao ya huduma za picha na video ipo Temdo Complex Njiro Ground floor office no 11 P.o.box...

PICHA: KITCHEN PARTY YA NEEMA – KWALALUMPUR HALL SINZA

PICHA: HARUSI YA AINA YAKE YA ALLEN NKYA NA NEEMA- WHITE SANDS HOTEL: 13.06.2015

    Kwa raha zao yaaaniii Allen na Neema kwenye garden ya White sands hotel         Biharusi alipendeza sanaaaaaa Kama kawa kama dawa Mc...

PICHA: SENDOFF PARTY ILIYOBAMBA SANA YA DR. GLADY’S KAAYA – CARDINAL RUGAMBWA HALL: 11.06.2015

DARASA LA ALHAMIS na DR.CHRIS MAUKI: JINSI YA KUJIJENGEA UWEZO ULIO BORA NA WENYE UFANISI KATIKA KUWASILIANA

“Becoming an effective communicator” Ni vema tukikubaliana na ukweli kwamba hakuna hata mmoja kati yetu ambaye alizaliwa akijua kuwasiliana. Wote tunajifunza, na...