Chris Mauki

Dr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man

DARASA LA ALHAMISI NA DR. CHRIS MAUKI: MAMBO MUHIMU YAKUZINGATIA ILI KUBORESHA MAHUSIANO

MAMBO MUHIMU YAKUZINGATIA ILI KUBORESHA MAHUSIANO Tunaposema mahusiano tunamaanisha Mahusiano baina ya marafiki wa jinsia moja Mahusiano baina ya wanafamilia Mahusiano...

PICHA: USIKU WA SEND OFF YA CATHERINE MUGAYA: DIAMOND JUBILEE HALL: 09.02.2019

Bibi harusi mtarajiwa, Catherine Mugaya akiingia ukumbini MC. Dr. Chris Mauki Wazazi wa bibi harusi mtarajiwa, Mr. & Mrs. Mugaya wakitoa neno la baraka kwa binti yao...

PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KATIKA EVENT YA MANPOWER CONFERENCE: AKEMI CONFERENCE HALL-POSTA: 02.09.2019

Dr. Chris Mauki akiongea na wanaume waliojitokeza katika event ya Manpower Conference    Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off,...

PICHA: RELATIONSHIP TALK YA DR. CHRIS MAUKI KATIKA EVENT YA PH INSPIRATIONAL SERIES: PEACOCK HALL-MBEZI GARDEN: 09.02.2019

Dr. Chris Mauki akiweka nondo sawa kabla ya kuanza kufundisha Dr. Chris akifundisha  namna ya kuwa na mtazamo chanya kuhusu maisha hata kama mtu anapitia kipindi kigumu...

DARASA LA ALHAMISI NA DR. CHRIS MAUKI: JINSI YA KUJIJENGEA UWEZO WA KUFANYA MAAMUZI YALIYO BORA

JINSI YA KUJIJENGEA UWEZO WA KUFANYA MAAMUZI YALIYO BORA Katika Maisha yetu ya kila siku mara nyingi tunajikuta katika mazingira yanayotulazimu kufanya maamuzi magumu au...

PICHA: RELATIONSHIP TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU KATIKA EVENT YA CAMPUS CAMP: VCCT-MBEZI BEACH: 02.02.2019

Dr. Chris Mauki akiongea na wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali katika event ya Campus Camp iliyofanyika katika kanisa la VCCT Mbezi Beach Kwa mahitaji ya MC katika...

DARASA LA ALHAMISI NA DR. CHRIS MAUKI: JIFUNZE NAMNA YA KUJISAIDIA MWENYEWE (Self Help Skills)

JIFUNZE NAMNA YA KUJISAIDIA MWENYEWE (Self Help Skills)   Utafiti uliofanywa katika maeneo mengi katika nchi zilizo endelea na zinazoendelea unaonyesha kuwa watu...

DARASA LA ALHAMISI NA DR. CHRIS MAUKI: IFAHAMU MISONGO YA MAWAZO INAYOTATIZA FAMILIA NYINGI (FAMILY STRESS)

    IFAHAMU MISONGO YA MAWAZO INAYOTATIZA FAMILIA NYINGI (FAMILY STRESS) Katika familia kuna stress ambazo zinasababishwa na wanafamilia wenyewe na nyingine...

PICHA: PSYCHOLOGICAL PREPARATION FOR RETIREMENT TRAINING YA DR. CHRIS MAUKI KWA STAFF WA PUMA ENERGY ILIYOANDALIWA NA ATE: SOUTHERN SUN HOTEL: 16.01.2019

Topic ya kwanza ya Dr. Chris Mauki kwa staff  wa Puma Energy  Dr. Chris Mauki akifundisha kuhusu namna ya kujiandaa kustaafu Topic ya pili ya Dr. Chris Mauki kwa staff...

PICHA: HARUSI YA ABDU MUSA NA MKEWE KIPENZI NEEMA: DANKEN HALL: 12.01.2019

Maharusi, Mr. & Mrs. Abdu Musa wakiingia ukumbini kwenye usiku wa harusi yao  Mwenyekitiwa kamati, Mr. Muhidini akitoa neno la ukaribisho kwa wageni waalikwa MC....