PICHA: MODERATION YA DR. CHRIS MAUKI KATIKA KONGAMANO LA SIKU MAALUM DHIDI YA RUSHWA ILIYOANDALIWA NA PCCB: 03.07.2019

Dr. Chris Mauki akiwa pamoja na CAG Prof. Mussa Assad Mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU, Kamishna wa Polisi Diwani Athuman akitoa mada.  Dr. Chris Mauki akimoderate mdahalo kuhusu mwelekeo wa Serikali katika mapambano dhidi ya rushwa Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *