PICHA: MODERATION YA DR. CHRIS MAUKI KATIKA UZINDUZI WA MAKTABA YA MTANDAO: TAASISI YA ELIMU TANZANIA: 30.03.2019

Wageni mbalimbali ambao ni wadau wa elimu wakiwa katika viwanja vya Taasisi ya Elimu Tanzania katika uzinduzi wa maktaba ya mtandao (E-Library) Dr. Chris Mauki akisalimiana na mgeni rasmi, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia,  Prof. Joyce Ndalichako  Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu Tanzania, Dr. Aneth Komba akitoa ufafanuzi juu ya maktaba ya mtandao (E-Library) itakavyorahisisha ufundishaji kwa walimu  Dr. Chris Mauki (Moderator) akisimamia shughuli nzima ya uzinduzi wa E-Libray Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *