Dr. Chris Mauki akiongea na wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali katika event ya Campus Camp iliyofanyika katika kanisa la VCCT Mbezi Beach
Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa moja