PICHA: HARUSI YA MAPACHA KULWA EDWARD NDAGA NA MKEWE IRENE PAMOJA NA DOTO EDWARD NDAGA NA MKEWE EVA: FLAMINGO HALL-MBEZI BEACH: 29.12.2018

Wasimamizi wa  harusi ya mapacha Doto Ndaga na Kulwa Ngada wakiingia ukumbini Couple ya kwanza ya Mr. Kulwa Edward Ndaga na mkewe kipenzi Irene wakiingia ukumbini Couple ya pili ya Mr. Doto Edward Ndaga na mkewe kipenzi Eva Msuya wakiingia ukumbini MC. Dr. Chris Mauki akimkaribisha mwenyekiti wa kamati ili awakaribishe wageni waalikwa  Mwenyekiti wa kamati Mr. Yona akitoa neno la ukaribisho kwa wageni waalikwa Mr. Kulwa Edward Ndaga na mkewe Irene (Kulia) pamoja na Mr. Doto Edward Ndaga na mkewe Eva (Kushoto) Mr. Kulwa Edward Ndaga akimtambulisha mkewe kipenzi Irene

Mr. Doto Edward Ndaga akimtambulisha mkewe kipenzi Eva 

Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *