PICHA: DR. CHRIS MAUKI KATIKA PANEL DISCUSSION KUHUSU CHARACTER DEVELOPMENT KWA WAFANYAKAZI WA MAKAMPUNI- LINDAM ACADEMY: 30.11.2018

Asha Sinare akifungua rasmi panel discussion kuhusu character development Ms. Zuhura Sinare Muro, Managing Director wa Lindam Group Limited akiongea kuhusu developing a winning character to power your personal and career ambition

Dr. Chris Mauki akichangia jambo kuhusu developing a winning character to power your personal and career ambition  Darasa likiendelea 

Dr. Chris Mauki akitolea ufafanuzi juu ya ni namna gani malezi huaribu au kutengeneza character ya mtu

Dr. Chris Mauki katika panel discussion akiwa na Ms. Scolastica kimaryo,  CEO wa Maadili Conscious Leadership Center (katikati) pamoja na Managing Director wa Lindam Group Limited, Ms. Zuhura Sinare Muro

Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *