PICHA: MAHUBIRI YA DR. CHRIS MAUKI KWA WAUMINI WA KANISA LA T.A.G-CHANGANYIKENI: 25.11.2018

Mchungaji Muro wa kanisa la TAG-Changanyikeni akimkaribisha Dr. Chris Mauki ili aongee na waumini wa kanisa hilo katika ibada ya kwanza

Dr. Chris Mauki akitoa salamu kabla  ya kuhubiri katika kanisa la T.A.G-Changanyikeni

Dr. Chris Mauki akihubiri kuhusu nafasi ya mume na mke katika familia 

Dr. Chris Mauki akitolea ufafanuzi wa kibiblia kuhusu mwanamke kutii mume wake  Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *