PICHA: SEMINA YA NDOA YA DR.CHRIS MAUKI KWA WAUMINI WA KANISA LA PRESBYTERIAN CHURCH OF AFRICA-KINONDONI: 23.11.2018

Waumini wa kanisa la Presbyterian Church of Africa, St. Johns’ Parish-Kinondoni wakifuatilia semina ya ndoa kutoka kwa Dr. Chris Mauki Mtumishi wa Mungu, Rev. Franklin Msamila wa kanisa la Presbyterian Church of Africa akifuatilia somo kutoka kwa Dr. Chris Mauki

Dr. Chris Mauki akifundisha kuhusu mahitaji ya mwanaume na mwanamke katika ndoa  Watu wakiwa wametulia wakifuatilia mada kwa ukaribu Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *