PICHA: PRE-RETIREMENT TRAINING YA DR. CHRIS MAUKI KWA SENIOR ACADEMIC STAFF WA UDSM ILIYOANDALIWA NA DPS: 25.10.2018

Baada ya awamu wa kwanza ya Training ya Dr. Chris Mauki kuhusu Pre-retirement preparation  kwa Non-academic staff wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, siku ya leo ilikuwa ni awamu ya pili ya Training hiyo kwa Senior Academic Staff (Professors) wa UDSM

Dr. Chris Mauki leo alipata nafasi ya kuongea na  Senior Academic Staff  wa chuo kikuu cha Dar es salaam kuhusu jinsi ya kujiandaa kwa ajili ya kustaafu  Baadhi ya maprofessor wa chuo kikuu cha Dar es Salaam wakimfuatilia Dr. Chris Mauki Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *