PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KUHUSU LIFE SKILLS KWA STAFF WA KIWANDA CHA SIGARA TANZANIA (TCC): 15.10.2018

General Manager wa kiwanda cha Sigara Tanzania (TCC) Mr. Alan akimkaribisha Dr. Chris Mauki ili kuongea na staff wa TCC. Dr. Chris Mauki akifundisha somo la “Life Skills” kwa staff wa Kiwanda cha Sigara Tanzania (TCC)  Dr. Chris Mauki akitolea ufafanuzi kuhusu umuhimu wa kuweka akiba ili kufikia malengo binafsi Darasa likiendelea na huku watu wakiwa makini kudaka madini ya Dr. Chris Mauki Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *