Hii ndio ilikuwa topic aliyofundisha Dr. Chris Mauki kwa staff wa Vodacom makao makuu
Staff wa Vodacom wakiwa tayari kabisa kusikiliza darasa la Dr. Chris Mauki kuhusu Corporate Etiquette
Dr. Chris Mauki akifafanua kiundani umuhimu wa Corporate Etiquette katika makampuni hususani katika ulimwengu wa biashara.
Darasa likiendelea
Dr. Chris Mauki akifundisha mada ya Corporate Etiquette kwa staff wa Vodacom makao makuu
Staff wa Vodacom wakiwa na utulivu wa kufuatilia mada ya Dr. Chris Mauki kuhusu Corporate Etiquette
Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa moja