PICHA: TRAINING YA DR. CHRIS MAUKI KUHUSU CUSTOMER CARE KWA STAFF WA AFRICAN MICROFINANCE LIMITED: 05.10.2018

Wafanyakazi wa African Microfinance Limited wakifuatilia darasa la Dr. Chris Mauki kuhusu njia bora za kuhudumia wateja (Customer care) Dr. Chris Mauki akiongea na wafanyakazi wa African Microfinance Limited kuhusu mambo muhimu ya kuzingatia katika huduma kwa wateja  Dr. Chris Mauki akitolea ufafanuzi kuhusu umuhimu wa Emotional Intelligence  katika suala la huduma kwa wateja  Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *