Mgeni rasmi katika Speakers Conference, Mr. Eric Shigongo akitoa mada kuhusu tasnia ya public speaking
Dr. Chris Mauki akipeana mkono na mgeni rasmi Mr. Eric Shigongo
Meza kuu ikifuatilia kwa ukaribu mjadala kuhusu public speaking
Dr. Chris Mauki akijadili jambo kuhusu mambo ya msingi ya kuzingatia ili kuwa public speaker mzuri
Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa moja