PICHA: UFUNGWAJI WA PROGRAMU YA YOUTH ECONOMIC EMPOWERMENT CHINI YA PLAN INTERNATIONAL: NEW AFRICA HOTEL-DSM:23.08.2018

Dr. Chris Mauki akimodarate zoezi zima la ufungwaji wa mradi wa Youth Economic Empowerment uliokuwa chini ya Plan International   Acting Country Director wa Plan International, Dr. Benatus Sambili akitoa muhtasari wa mradi wa Youth Economic Empowerment  Mgeni rasmi, Mkuu wa mkoa wa Morogoro Dr. Kebwe Stephen Kebwe akitoa salamu kwa wageni waalikwa.   Mkuu wa wilaya ya Kibaha, Mhe. Assumpter Mshana akitoa hotuba fupi kwa baadhi ya washiriki wa mradi wa Youth Economic Empowerment  Mmoja kati ya Youth Economic Empowerment Consultant akitoa tathimini ya mradi   Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Mhe. Jokate Mwegelo naye alipata nafasi ya kutoa neno kwa washiriki wa mradi wa Youth Economic Empowerment  Director wa event nzima ya ufungwaji wa programu ya Youth Economic Empowerment, Dr. Chris Mauki  Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Vjiana, Mhe. Antony Mavunde akiongea na vijana ambao ni wanufaika wa mradi.   Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *