PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWA WAMAMA NA MABINTI WA WOMEN OF GRACE MINISTRY: VCCT-MBEZI BEACH: 22.08.2018

Mch. joyce Nkone kwa niaba ya uongozi wa Women of Grace Ministry akimkaribisha Dr. Chris Mauki ili aongee na wamama na mabinti waliofika katika event hiyo maalum iliyoandaliwa na Women of Grace Ministry.

Dr. Chris Mauki akifundisha kuhusu chachu ya uimara wa mwanamke katika imani, kazi na familia Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *