PICHA: UZINDUZI WA KATUNI ZA MASOMO ULIYOANDALIWA NA TAASISI YA ELIMU TANZANIA NA KUWA MODERATED NA DR. CHRIS MAUKI: 18.08.2018

Moderator wa shughuli, Dr. Chris Mauki akiweka mambo sawa ili kumkaribisha mgeni rasmi. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako (Katikati) akiongozana na katibu mkuu wizara ya Elimu, Dr. Leonard Akwilapo (Kulia) pamoja na mwenyekiti wa baraza la Taasisi ya Elimu  Prof. Kilian 

Mgeni rasmi, Prof. Joyce Ndalichako (Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia) akitoa hutuba yake fupi katika uzinduzi wa Vikaragosi (Katuni) za kufundishia masomo ya darasa ya kwanza na la pili   Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia akizindua rasmi katuni za kufundishia masomo ya darasa la kwanza na darasa la pili Mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania, Dr. Aneth Komba (Kulia) akionyesha baadhi ya DVD ya katuni ya masomo ya kujifunzia darasa la kwanza na la pili Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *