PICHA: SEMINA YA NDOA YA DR. CHRIS MAUKI KWA WATUMISHI WA MUNGU WA HUDUMA YA “NEW LIFE IN CHRIST”: LUKOLO HALL-TABATA: 08.08.2018

Dr. Chris Mauki akiongea na wanandoa wa huduma ya New life in Christ  Wanandoa wakiwa wametulia wakifuatilia somo kutoka kwa Dr. Chris Mauki

Kuna waliokuja na madaftari kwa ajili ya kuchukua notes za mafundisho ya Dr. Chris Mauki.  Mwenyekiti wa huduma New Life in Christ (DSM) Dr. Allison Mmanyi akiwa na mke wake wakifuatilia kwa ukaribu somo la Dr. Chris Mauki.

Upako wa kufundisha ukitiririka  Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *