PICHA: PARENTING TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWA WAZAZI WA WANAFUNZI WANAOSOMA CANOSSA PRIMARY SCHOOL: 04.08.2018

Dr. Chris Mauki akiongea na wazazi wa wanafunzi wanaosoma Canossa Primary School kuhusu vitu muhimu vya kuzingatia ili kuwa mzazi muwajibikaji. Alifundisha  vitu vinavyomtambulisha mzazi muwajibikaji, moja ya pointi aliyoifundisha ni  uwepo wa wazazi au mzazi kwa watoto (Presence) alisisitiza kwamba watoto wetu hawahitaji fedha au vitu kama tunavyofikiri zaidi wanavyotuhitaji sisi wazazi.  Alikazia kwa kusema, pamoja na kwamba wazazi siku hizi tuko busy sana lakini ni muhimu kutafuta muda wa kuwa na watoto wetu  na kuwasikiliza.   Wazazi wa wanafunzi wanaosoma Canossa Primary School wakimsikiliza Dr. Chris Mauki alipokuwa akifundisha kuhusu namna ya kuwa mzazi muwajibikaji (Responsible parent) Dr. Chris Mauki akielezea umuhimu wa malezi ya pamoja kati ya mama na baba (Core parenting)  Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *