PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWENYE EVENT YA MEN OF VICTORY: VCCT-MBEZI BEACH: 01.08.2018

Katika kutambua nafasi ya Mwanaume katika familia, kanisa la VCCT-Mbezi beach lilimualika Dr. Chris Mauki ili aongee na wanaume wa kanisa hilo kuhusu nafasi ya mwanaume  katika familia Dr. Chris Mauki akidadavua kwa undani nafasi ya mwanaume kama mume (Husband) katika familia. Utulivu katika ufuatiliaji mada 

 Baada ya kuongelea nafasi ya mwanaume kama Mume (Husband) Dr. Chris Mauki pia alifundisha kuhusu nafasi ya mwanaume kama baba ndani ya familia,hapo dozi ikawa imekamilika. Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *