PICHA: ANNIVERSARY YA MIAKA 10 YA NDOA YA MR. ELIYA NA MKEWE CONSOLER: LAMADA HOTEL: 29.07.2018

Mr. Eliya akiwa na mkewe Consoler pamoja na watoto wao wakishangilia kwa furaha siku yao muhimu ya Anniversary ya miaka 10 ya ndoa yao  MC. Dr. Chris Mauki Miriam Lukindo Mauki akiimba wimbo maalum kwa Eliya na Consoler kwenye Anniversary yao ya miaka 10 ya ndoa  Mr. Eliya na mkewe kipenzi Consoler wakikata keki yao ya Anniversary ya miaka 10 Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *