PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWA PRIMARY SCHOOL TEACHERS: ACADEMIC SYMPOSIUM 2018: 07.06.2018

Walimu kutoka shule mbalimbali za ndani na nje ya Dar es salaam wakimsikiliza Dr. Chris Mauki Dr. Chris Mauki akifundisha kuhusu application ya saikolojia katika ufundishaji wa wanafunzi mashuleni katika karne hii ya 21  Darasa la Dr. Chris Mauki kuhusu application ya saikolojia katika ufundishaji kwa walimu wa primary schools  kutoka Dar es salaam na mikoa mengine ya Tanzania

Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *