PICHA: HARUSI YA SEPI MAWALA NA MKEWE KIPENZI JESTINA NGOWI: DIAMOND JUBILEE VIP HALL: 26.05.2018

Maharusi, Mr. & Mrs. Sepi Mawala wakiingia ukumbini siku ya jana pale Diamond Jubilee-VIP Hall MC. Dr. Chris Mauki MC. Dr. Chris Mauki akikagua ratiba yake kama kuna kikundi kimesahaulika kwenye zawadi  “Samahani MC. Dr. Chris Mauki, kuna kikundi tulisahau kuregister naomba uongezee hapo“. MC Dr. Chris Mauki akimsikiliza mteja wake.  Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *