PICHA: USIKU WA SEND OFF YA JANETH NTIMBA: GOLDEN MEMORY HALL-SINZA: 11.05.2018

Wazazi wa Janeth Ntimba, Mr. & Mrs. Ntimba wakiingia ukumbini Bibi harusi mtarajiwa, (Katikati) akiingia ukumbini wa wazazi wake Mr. & Mrs. Ntimba Mtu na baba yake.  Mtumishi wa Mungu, Mchungaji Mwangi akifungua kwa sala usiku wa Send off ya Janeth Ntimba MC. Dr. Chris Mauki Wazazi wa bibi harusi mtarajiwa, Mr. & Mrs. Ntimba wakitoa neno la baraka kwa binti yao  Bibi harusi mtarajiwa akimtambulisha mume wake mtarajiwa Mr. Gilles Andrea kwenye usiku wa send off ya Janeth Ntimba 

Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *