PICHA: TRAINING YA DR. CHRIS MAUKI KWA STAFF WA TANZANIA STANDARD NEWSPAPERS (TSN): UKUMBI WA MIKUTANO UWANJA WA TAIFA: 05.05.2018

Dr. Chris Mauki akiongea na staff wa Tanzania Standard Newspapers (TSN) kuhusu ni jinsi gani ya kuongeza ujasiri na ufanisi kazini.  Dr. Chris Mauki akifundisha kuhusu  jinsi gani  mfanyakazi anaweza kujiongezea ujasiri kazini na kisha kusababisha kuongezeka kwa ufanisi wa kazi

Dr. Chris Mauki akiongelea kuhusu tabia ya kuhairisha  mambo (Procrastination) inavyoweza kuathiri ufanisi na utendaji wa kazi  Dr. Chris Mauki akiwa na Hawa Mniga ambaye ndiye Human Resource and Administrative Manager  (HRAM) wa Tanzania  Standard Newspapers Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *