PICHA: TRAINING YA PUBLIC SPEAKING AND PROFESSIONAL PRESENTATION-DAY THREE: SHAMOOL HOTEL: 21.04.2018

Dr. Chris Mauki akitoa maelezo ya awali katika Siku ya tatu ya mafunzo ya Public speaking and professional presentation, Siku hii ilikuwa ni maalum kwa washiriki wa mafunzo hayo kuonesha kwa vitendo kile walichojifunza katika mafunzo hayo. Kila mshiriki  aliandaa topic yake na kuja kuwasilisha. Dr. Chris Mauki alikuwepo kama msimamizi na jaji wa zoezi hilo.

Mmoja kati ya washiriki wa Training ya Public speaking and professional presentation akiwasilisha mada yake  Kila mshiriki alipata muda wa kutosha wa kuonesha ujuzi wake (kwa vitendo) katika public speaking and professional presentation Kila mshiriki alikuwa makini kufuatilia mada zilizokuwa zikitolewa na washiriki wenza wa Training ya public speaking and professional presentation  Ni mafunzo kwa vitendo zaidi.  Dr. Chris Mauki akitoa comments kwa baadhi ya washiriki waliowasilisha mada zao Dr. Chris Mauki akitoa  mjumuisho wa zoezi zima la mafunzo kwa vitendo ya public speaking and professional presentation  baada ya washiriki kumaliza sessions zao Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *