PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KUHUSU “EMOTIONAL HEALTH” PALE HUBERT KAIRUKI UNIVERSITY: 20.04.2018

Kabla ya Dr. Chris Mauki kuanza kufundisha, kulitanguliwa na praise na worship kutoka kwa HKMU TAFES Family Topic ambayo Dr. Chris alifundisha siku ya jana pale Hubert Kairuki University  Mmoja kati ya washiriki akichangia mada  Dr. Chris Mauki akifundisha kuhusu topic ya “Emotional Health” siku ya jana pale Hubert Kairuki University Somo limekolea  Mtoa mada, Dr. Chris Mauki akitolea ufafanuzi juu ya namna gani mtu anaweza kuwa na emotional health pamoja na changamoto na magumu ya maisha anayopitia kwa wakati huo. Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *