PICHA: HARUSI YA GIDEON LUKWARO NA MKEWE KIPENZI LOVENESS: MIRADO HALL-SINZA: 15.04.2018

Best man na Matron waliosimamia usiku wa harusi ya Mr. & Mrs. Gideon Lukwaro wakiingia ukumbini Maharusi, Mr & Mrs. Gideon Lukwaro wakiingia ukumbini Kwaya ya Acacia Singers (SDA Mwenge) wakiimba wimbo maalum kwa maharusi MC. Dr. Chris Mauki MC. Dr. Chris Mauki akifuatilia ratiba kwa ukaribu ili kuhakikisha kila kitu kinaenda kama kilivyopangwa

Kwaya ya Acacia Singers (SDA Mwenge) katika picha ya pamoja na maharusi Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *