PICHA: TRAINING YA DR. CHRIS MAUKI KUHUSU GOAL SETTING KWA STAFF WA AFRICAN MICROFINANCE LIMITED: 09.03.2018

Staff wa African Microfinance Limited wakiwa tayari kwa training ya Dr. Chris Mauki Staff wa African Microfinance Limited wakiwa wanafanya assignment ya goal setting ikiwa ni mojawapo ya activity aliyoitoa Dr. Chris Mauki wakati wa training Dr. Chris Mauki akifundisha jinsi gani kama mfanyakazi wa kampuni unaweza kuyafanikisha malengo ya kampuni na wakati huohuo ukifanikisha malengo binafsi uliyojiwekea  Dr. Chris Mauki akitolea ufafanuzi kuhusu umuhimu wa kuwa na Focus katika malengo  Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *