PICHA: SEND OFF YA SARAH CHRISTOPHER MWAKASEGE: AICC-LAKE NYASA HALL-ARUSHA: 08.02.2018

MC. Dr. Chris Mauki akiteta jambo na Mtumishi wa Mungu, Mwalimu Christopher Mwakasege. Bibi harusi mtarajiwa, Sarah Mwakasege akiingia ukumbini Bibi harusi mtarajiwa akiwa na baba yake mzazi, Mtumishi wa Mungu Mwalimu Christopher Mwakasege Askofu Dr. Alex Malasusa akimuwekea mikono ya baraka bibi harusi mtarajiwa, Sarah Mwakasege Mwenyekiti wa kamati akitoa neno la ukaribisho kwa wageni waalikwa Bibi harusi mtarajiwa akilishwa keki na Matron wake Sarah Mwakasege (bibi harusi mtarajiwa) akikabidhi keki kwa wazazi wake Mr. & Mrs. Christopher Mwakasege MC. Dr. Chris Mauki

Dr. Chris Mauki pamoja na Miriam Mauki wakiteta jambo na Askofu Dr. Alex Malasusa Sarah Mwakasege (bibi harusi mtarajiwa) akiwa na Mume wake mtarajiwa Mr. Suligi Kwayu Bibi harusi mtarajiwa akimkabidhi zawadi mume wake mtarajiwa Mr. Suligi Kwayu Watumishi wa Mungu, Mr. & Mrs. Christopher Mwakasege wakitoa neno la baraka kwa mtoto wao Sarah Mwakasege baada ya kutoa zawadi.Director mwenyewe wa shughuli MC. Dr. Chris Mauki Sekta ya burudani ilisimamiwa na DJ Ommy mwenyewe Hii ndio kamati nzima ya maandalizi ya Send off ya Sarah Mwakasege Askofu Dr. Alex Malasusa akimshukuru MC. Dr. Chris Mauki kwa kazi nzuri aliyoifanya

Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *