PICHA: TRAINING YA DR. CHRIS MAUKI KWA WACHEZAJI NA VIONGOZI WA KLABU YA SIMBA: SEA SCAPE HOTEL-MBEZI BEACH: 17.01.2018

Gari la Wachezaji wa Klabu ya Simba  mara tu baada ya kuwasili Sea Scape Hotel. 

Dr. Chris Mauki akiweka mambo sawa kabla ya kuongea na viongozi na wachezaji wa klabu ya Simba. Khaji Manara (Msemaji wa klabu ya Simba) akitoa neno la ukaribisho kabla Dr. Chris Mauki kuanza kufundisha  Shiza Kichuya (Mchezaji wa klabu ya simba) akiwa tayari kumsikiliza Dr. Chris Mauki. Dr. Chris Mauki akitoa utangulizi kabla ya kuanza Training kwa wachezaji na viongozi wa Klabu ya Simba Shule ikiendelea Usikivu na utulivu katika kufuatilia mada Wachezaji wa klabu ya Simba wakimfuatilia kwa ukaribu Dr. Chris Mauki Dr. Chris Mauki akitolea ufafanuzi kuhusu umuhimu wa klabu kuwa na “Team spirit” ili kufikia malengo yao katika mchezo wa mpira wa miguu Nahodha wa klabu ya Simba, John Boko akitoa neno la shukurani kwa Dr. Chris Mauki kwa niaba ya wachezaji wa klabu ya Simba  Salim Abdallah (Kaimu Rais wa Simba) akitoa neno la shukurani kwa niaba ya viongozi na wachezaji wa klabu ya Simba  Uongozi wa Klabu ya Simba katika picha ya pamoja na Dr. Chris Mauki. Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *