PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWENYE SEMINA YA NDOA ILIYOANDALIWA NA KKKT-KURASINI: 15.12.2017

Dr. Chris akiwa na Mchungaji wa KKKT-Kurasini, Mch. Prosper Chao

Dr. Chris Mauki akiongea na Wanandoa waliohudhuria kwenye semina ya ndoa Wanandoa wakimfuatilia kwa ukaribu Dr. Chris Mauki Mch. Prosper Chao akiwa na mkewe wakifuatilia kwa ukaribu Somo la Dr. Chris Mauki Wanandoa wakiwa wametulia huku wakitafakari pointi kutoka kwa Dr. Chris Mauki Baada ya Semina wanandoa walipata nafasi ya kupiga picha ya pamoja na Dr. Chris Mauki Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *