PICHA: HARUSI YA FRANK FUTE NA MKEWE KIPENZI NDWELA: KRISTO MFALME HALL-TABATA: 28.10.2017

Maids wakisafisha njia ili maharusi wapate kuingia ukumbini Maharusi Mr. & Mrs. Frank Fute wakiingia ukumbini Mtumishi wa Mungu Mch. Hagai akifungua kwa sala Mwenyekiti wa kamati Mr. Emmanuel Mbembati akiwakaribisha wageni waalikwa

MC. Dr. Chris Mauki MC. Dr. Chris Mauki akiakikisha usiku wa Mr. & Mrs. Frank Fute unakwenda kama ulivyopangwa Na wao hawakuwa nyuma katika kufurahi pamoja na maharusi Mr. & Mrs Frank Fute Hii ndio kamati ya maandalizi iliyofanikisha harusi ya Mr. & Mrs. Frank Fute Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *