PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWENYE ROAD TO SUCCESS EVENT: AKEMI-GOLDEN JUBILEE TOWER: 14.10.2017

Mr. Rodrick Nabe akitoa neno la utangulizi kwenye uzinduzi wa DVD yake inayokwenda kwa jina la Things we don’t learn at school Dr. Chris Mauki akiwa pamoja na mshiriki wa Road to success event mara tu baada ya uzinduzi wa DVD ya Things we do not learn at school iliyoandaliwa na Mr. Rodrick Nabe

Dr. Chris Mauki akishusha nondo zake kwenye road to success event  Watu wakimfuatilia Dr. Chris Mauki alipokuwa akifundisha  Nondo zikiteremka kutoka kwa Dr. Chris Mauki Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *